KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Saturday, June 22, 2013

RAIS KIKWETE AMPONGEZA ASKOFU MKUDE KUTIMIZA MIAKA 25 YA UASKOFU.

Rais  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Telesphori  Mkude wa jimbo katoliki Morogoro wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 25 ya Uaskofu  wake (Silver Jubilee)zilizofanyika katika viwanja vya St.Peters junior Seminary mjini  Morogoro.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu Katoliki wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Miaka 25(Silver jubilee) ya Uaskofu wa Askofu Telesphori  Mkude wa jimbo Katoliki Morogoro zilizofanyika katika Viwanja vya Seminary ya St.Peters mjini Morogoro.(Picha na Freddy Maro).

No comments: