Mabwawa yaliyotengenezwa katika mpangilio maalum ya kufugia Mazao ya Baharini
aina ya Chaza katika kampuni kampuni ya
Peiyang Ablone,katika wilaya ya Xiang’an
iliyo katika mji wa Xiamen nchini
China,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia akiwa na ujumbe wake wakiangalia Mazao ya Baharini Aina ya Chaza,mazao hayo yakufuga yanaendelezwa na kampuni ya Peiyang
Ablone,katika wilaya ya Xiang’an iliyo
katika mji wa Xiamen nchini China,Rais
na ujumbe wakiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali ya Watu wa jamhuri hiyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Mkuu wa Kamapuni ya ufugaji wa Mazao ya Baharini
aina ya Chaza Zheing Shubin,katika wilaya Xiang'an jimbo la
Xiamen,alipowasili katika kampuni hiyo akiwa katika mualiko wa Serikali
ya Jamahuri ya Watu wa China,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya
Mambo ya Nje ya Serikali ya Jimbo la Xiamen Hong Chengzong,katika uwanja wa
Ndege wa Mji huo Nchini china,akirejea Zanzibar baada ya kumalizika ziara yake
nchini humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akiagana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi
Chen Qiman, katika uwanja wa Ndege wa Mji huo Nchini china,akirejea Zanzibar
baada ya kumalizika ziara ya mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanammwema Shein,akiagana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake
Zanzibar Bibi Chen Qiman, katika uwanja wa Ndege wa Mji huo Nchini china,akirejea
Zanzibar baada ya kumalizika ziara ya mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa
China.[Picha na Ramadhan Othman Xiamen China,]
No comments:
Post a Comment