Meneja wa Maadili na Usuluhisho Baraza la Habari Tanzania,(MCT),Allan Lawa.akizungumza.
Mwenyekiti wa MISA Tanzania,Mohamed Tibanyendera akisoma tamko.
Sehemu ya waandishi wakisikiliza wakati wa kusomwa Tamko.
Mgeni Rasmi,Rais wa Tanganyika Law Societ,Francis Stolla,(kulia) akikata utepe kufungua na kuzindua Tamko.Mwengine Mwenyekiti wa MISA Tanzania Mohamed Tibanyendera.
Mgeni Rasmi,Rais wa Tanganyika Law Societ,Francis Stolla,(aliyesimama) akizungumza ya moyoni kabla ya kuzindua Tamko. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPC,Abubakar Karsan.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG).
No comments:
Post a Comment