KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Tuesday, July 2, 2013

BANDA LA HOME SHOPPING CENTRE,MALI ASILI NA UTALII YANANG'ARA KWENYE MAONESHO YA 37 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM.

Kama unataka nyumbani kwako kupendeze tembelea Banda hili kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam Barabara ya Kilwa.
Pata mambo mengi yanayohusu Utalii wetu ndani na nje ya Nchi uanapotembelea Banda hili kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Barabara ya Kilwa Dar es Salaam.

No comments: