KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Tuesday, July 2, 2013

KAMPUNI YA MARIDADI TIMBERWORK LIMITED YAONGOZA KWA BIDHAA NZURI NA SAFI KWA BEI NAFUU KATIKA MAONESHO YA 37 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM.


 Banda la Kampuni ya Maridadi Timberwork likiwa na baadhi ya Bidhaa.

 Banda la Kampuni ya Maridadi Timberwork likiwa na baadhi ya Bidhaa, milango,meza na viti kwa ajili ya mlo.

 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Maridadi Timberwork Ltd,Asha Majura,(kulia) akiwakaribisha wageni waliotembelea Banda hilo kwenye Maonesho.
Meneja Mkuu wa Maridadi Timberwork Ltd,Asha Majura,(kulia) akiwakaribisha na kuwaonesha Mop ya kisasa ambayo wanauza Tsh.40,000 tu wageni waliotembelea Banda hilo kwenye Maonesho.
 Mfanyakazi wa Maridadi Timberwork akiwaonesha kabati la kuwekea nguo watu waliotembelea Banda hilo.
 Dada wa Kampuni ya Maridadi Timberwork Ltd akimuonesha Mama jinsi Mop ya kisasa inavyofanya kazi.
 Vitanda vizuri vya kisasa vinapatikana katika Banda la Kampuni ya Maridadi Timberwork Ldt.
 Sehemu ya jiko ambalo linapatikana katika Banda la Kampuni ya Maridadi Timberwork Ltd kwa bei nzuri.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Maridadi Timberwork,Asha Majura,(kulia) akimsikiliza mteja aliyetembelea Banda hilo Uwanja wa Sabasaba Barabara ya Kilwa Dar es Salaam.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG)

No comments: