KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Tuesday, July 2, 2013

NMB WASHAMILI MAONYESHO YA 37 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM.

 Mteja wa NMB akiangalia kadi yake.
 Mfanyakazi wa NMB akiwasikiliza wateja waliotembelea Banda hilo Uwanja wa Sabasaba.
 Wateja wa NMB wakisoma na kufuatilia huduma ndani ya Banda Uwanja wa Sabasaba.
 Wateja wakisoma vipepelushi katika Banda la NMB Uwanja wa Sabasaba.
 Huduma zinaendelea kwa wateja wa NMB.
 Huduma kwa wateja wa NMB zinaendelea kama kawaida kwenye Uwanja wa Sabasaba.
Wafanyakazi wa NMB waendelea na huduma Chap Chap kwa wateja katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.

No comments: