Mke wa Rais
Mama Sama Kikwete akisalimiana na Mke wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Mama Roman
Tesfaye muda mfupi kabla ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa wake wa marais na
wakuu wa nchi za Afrika unaozungumzia , Investing in women: strengthening
Africa unaofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akizungumza na mke wa Rais Mstaafu wa Marekani Mama Laura
Bush wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa Marais barani Afrika.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa wake wa Marais na wakuu wan chi za Afrika unafanyika Dar es Salaam
kwa ufadhili wa Taasisi ya George Bush.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na Rais Mstaafu wa Marekani
Mheshimiwa George Bush na baadhi ya wake wa marais na wakuu wa nchi za
Afrika muda mfupi kabla ya Rais Kikwete
kuufungua rasmi mkutano huo.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mke wa Rais wa Marekani Mama
Michelle Obama pamoja na Mama Laura Bush, mke wa Rais Mstaafu wa Marekani
Mheshimiwa George Bush.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa
George Bush muda mfupi kabla ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa wake wa
Marais wa Afrika.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa
George Bush muda mfupi kabla ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa wake wa
Marais wa Afrika.
Rais
Jakaya Kikwete akiwa na Mke wake Mama Salma Kikwete wakizungumza na Rais
Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush wakati wa kikao cha wake wa Marais
wa Afrika.(PICHA JOHN LUKUWI).
No comments:
Post a Comment