Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George
W. Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki Dar es Salaam.
Wageni wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa
wake wa marais wa Afrika Mashariki Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika
Mashariki Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment