KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, July 19, 2013

NMB YAFADHILI SEMINA YA MAAFISA MAENDELEO WA VIJANA NCHINI.

 Mhe. Dkt. FeneraMukangaraambayeniWaziriwaHabari,Vijana, UtamaduninaMichezoakiongeanamaafisamaendeleoyavijananchiniwakatiwauzinduziwaseminayasikumbili

KatibuMkuuWizarayaHabari ,Vijana,UtamaduninaMichezoBw. Seth Kamuhandaakifafanuajambowakatiwaseminahiyo

Meneja wa NMB Mikopo Midogo Midogo Bw. Mashaga Changarawe akielezea huduma mbalimbali zitolewazo na Benki ya NMB zikiwemo akaunti pamoja na mikopo mbalimbali kwa wajasiliamali.

Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akizungumzia jinsi ambavyo Benki ya NMB kwa kupitia huduma zake kwa wajasiliamali inavyosaidia kuongeza ajira kwa vijana nchini.

Sehemu ya washiriki wa semina hiyo.

Erick Shigongo akitoa mada kuhusiana mafanikio  nakujitambua katika ajira.

No comments: