Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Centre for
Democracy (TCD) ambaye pia ni kiongozi wa chama cha NCCR Mageuzi Mhe. James
Mbatia akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete maazimio ya Kongamano la
Kitaifa kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands
jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba
yake ya kufunga Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika
katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba
yake ya kufunga Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika
katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa
vyama vya siasa vilivyoshiriki katika Kongamano la kitaifa Kujadili Amani ya Taifa
lililofanyika katika Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.Kushoto ni
kiongozi wa Chama cha NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia (MB), Mwenyekiti wa TLP
Mhe.Augustine Lyatonga Mrema(watatu kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa Chama
cha UDP Mhe.John Momose Cheyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(aliyekaa katikati) Akiwa
katika picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na washiriki wa
Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika Hoteli ya
White Sands jijini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment