KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, July 8, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA INDIA, SPIKA WA BUNGE LA KOREA YA KUSINI NA AAGANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Uholanzi Mhe.Dkt.Ad Koekkoek anayemaliza muda wake wa uakilishi nchini. Balozi huyo baadaye alifanya mazungumzo na Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Spika wa bunge la Korea ya Kusini Mhe.Hee Chang wakati  spika huyo na ujumbe wake walipomtembelea Rais Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Spika wa Bunge la korea ya Kusini Mhe.Hee Chang baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Korea Mhe.Hee Chang (kulia) akimfurahia  Simba aliyekaushwa na kupamba lango la  Ikulu. Kushoto ni mwenyeji wake,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na na Waziri wa Mambo ya nje wa India Mhe.Preneet Kaur Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya nje wa India Mhe.Preneet Kaur,(wapili kushoto) na ujumbe wake  Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe.(Picha na Freddy Maro)

No comments: