KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, July 8, 2013

UZINDUZI WA GATI MPYA YA ABIRIA MALINDI ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Bandari mpya  ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar (kushoto) Sheikh  Said Salum  Bakhresa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipta maelezo kutoka kwa mfadhili wa Kampuni ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria,Sheikh Said Salum Bakhresa,wakati
alipotembelea ukumbi wa VIP,na Business Class,katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya  ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alitembelea sehemu mbali mbali katika ikiwemo IMMIGRATION DEPARTURES pamoja na Viongozi aliofuatana nao
baada ya kugungua Bandari ya Abiria katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa  Injinia Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamad,(katikati) wakati alipotembelea sehumu ya Kuegeshea Meli ya Mizigo katika sherehe za  ufunguzi wa Bandari mpya  ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi zawadi mfadhili wa Kampuni ya ujenziwa Bandari mpya ya Abiria,Sheikh Said Salum Bakhresa,katika sherehe za
ufunguzi wa Bandari mpya  ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waalikwa katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya  ya Abiria katika bandari
ya Malindi Zanzibar,(kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundimbinu Issa Haji Ussi (Gavu) Harison Mwakiembe Waziri wa Miundombinu Bara,na Sheikh Said Salum Bakhresa (kulia).[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

No comments: