Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi, Meja Jenerali,Hassan Vuai Chema,akizungumza na wanamichezo wa timu za JWTZ zitakazoshiriki katika Mashindano ya Majeshi ya Afrika Mashariki Nairobi Kenya kuanzia agosti 5-17 kabla ya kuwakabidhi Bendera ya Taifa.
Kaimu Mkuu wa Mafunzo na Uendeshaji Kivita Makao Makuu ya Jeshi, Brigedia Jenerali,Ramadhan Kimweri, akizungumza na wanamichezo.
Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi, Meja Jenerali,Hassan Vuai Chema,(katikati) akimkabidhi Bendera,Mkurugenzi Elimu,Michezo na Utamaduni Makao Makuu ya JKT,Kaimu Mkuu wa Msafara,Kanali,Eliot Makafu,(kulia) na kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mafunzo na Uendeshaji Kivita Makao Makuu ya Jeshi, Brigedia Jenerali,Ramadhan Kimweri,
Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi, Meja Jenerali,Hassan Vuai Chema,akiwapa mikono na kuwasalimia wanamichezo.
Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi, Meja
Jenerali,Hassan Vuai Chema,akiwapa mikono na kuwasalimia wanamichezo.
Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi, Meja
Jenerali,Hassan Vuai Chema,Viongozi wengine wa Kijeshi wakiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo.
Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi, Meja
Jenerali,Hassan Vuai Chema,Viongozi wengine wa Kijeshi wakiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOB).
No comments:
Post a Comment