Baadhi ya Wakazi wa eneo la Ubungo Extanal Barabara ya Mandela Jijini Dar es Salaam wakiwa mbele ya Kanisa la Victorious (Kanisa la Maisha ya Ushindi) kwa ajili ya kumuona mmiliki wakidai kuwa waumini wake wakiongozwa na yeye wanapiga muziki kwa sauti kubwa wakati wa usiku na kuanzia saa 10:30 alfajili hivyo kuwasababishia wakazi hao kero za kelele.

Baadhi ya Nyumba zilizozunguka Kanisa hilo.
Jengo la Kanisa ambalo sehemu ya madirisha yapo wazi na kusababisha muziki kupenya na kuwaletea adha kubwa wakazi wa eneo hilo
Sehemu ya mbele ya Kanisa la Victorious Living Ubungo Extanal.
Mwenyekiti Kamati ya Wakazi Walalamikaji wa eneo la Ubungo Extanal, Alfred Mwenisongole,akizungumza na waandishi (hawpo pichani) waliofika katika Kanisa hilo
Viongozi, kutoka kushoto, Dastan Myava na Alfred Mwenisongole,wa Wenye nyumba wapangaji na Ofisi ambao ni Walalamikaji na Wakazi wa eneo la Ubungo Extanal wanaolalamikia Kanisa la Victorious hilo kwa kufanaya kazi ya kuwapigia kelele zisizo na maana yoyote.
KWA UFUPI
WAKAZI wa eneo la Ubungo Extanal Barabara ya Mandela Jijini Dar es Salaam wamemlalamikia Mmiliki wa Kanisa la Victorious Living, (Kanisa la Maisha ya Ushindi) kwa miaka mitano,(5) sasa kwa tabia ya kupiga muziki kwa sauti kubwa kuanzia saa 10:30 alfajili na wakati mwengine usiku.
Wakazi hao wamedai kumpa taarifa Mmiliki huyo lakini hakuwajali, wakazi hao baada ya kuona hivyo walifuata utaratibu wa kutoa taarifa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Kituo kidogo cha Polisi kilichopo jirani na kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mpaka sasa hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhizi yake Mmiliki huyo, Kinachoendelea zaidi muziki unaendelea kupigwa kwa sauti kubwa wakati wakazi hao wakiwa wamepumzika.
No comments:
Post a Comment