Sehemu ya mbele ya Gazeti la Malawi News lilivyoandika uongo kuhusu Wamalawi wanaoishi Dar es Salaam nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo,Assah Mwambene (kulia) akiwaonesha waandishi (hawapo pichani) picha ya mtandao wa gazeti la Malawi News lilivyoandika uongo.Mwengine ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia Habari,Tiganya Vincent.
Mkurugenzi Assah Mwambene akizungumza na kuonesha habari hiyo ya Uongo.
No comments:
Post a Comment