Rais Mh. Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mpya Dkt. Luigi Scotto (Kulia) kutoka Italia katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu- Dar es Salaam.
Rais Mh. Dkt, Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Balozi mpya anaewakilisha nchi ya Italia nchini Tanzania Balozi Dkt. Luigi Scotto( kushoto) Ikulu.
Balozi mpya anaewakilisha nchi ya Italia nchini Tanzania Dkt, Luigi Scotto (katikati waliovaa suti) pamoja na maafisa wakuu wa Itifaki wakiwa katika wimbo wa taifa.leo katika hafla hiyo ya utambulisho Ikulu.
Rais Mh.Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akisikiliza taarifa ya utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Italia nchini Tanzania Mh, Dkt. Luigi Scotto (kulia) leo Ikulu.
Balozi mpya wa Italia nchini
Tanzania Mh. Dkt. Luigi Scotto akisaini kitabu cha wageni leo Ikulu jijini Dar
es Salaam alipokwenda kuwasilisha hati za utambulisho kwa Mh, Rais Dkt. Jakaya
Kikwete(hayupo pichani).
Bolozi mpya wa Italia nchini
Tanzania Mh. Dkt, Luigi Scotto (kulia) akisalimiana na baadhi ya maafisa
kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, leo katika hafla hiyo Ikulu jijini Dar es
Salaam.(Picha zote na Mwanakombo
Jumaa-MAELEZO).
No comments:
Post a Comment