Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa kata ya Luhumbo Didia mara tu walipowasili kwenye kata hiyo tayari kwa kuanza ziara ya kutembelea wilaya ya Shinyanga Vijijini.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa kata ya Luhumbo Didia mara tu walipowasili kwenye kata hiyo tayari kwa kuanza ziara ya kutembelea wilaya ya Shinyanga Vijijini.
Mwendesha Baiskeli aliyekuwa akipita kwenye kata ya Didia ,aliamua kusimamisha safari yake kwa muda na kupata wasaa wakuwasikiliza viongozi wakubwa kutoka CCM Taifa.
Mbunge wa Solwa Ahmed Salum akitoa hotuba fupi kwa wakazi wa kata ya Didia kama ishara ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana aliyeongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba za viongozi wao.
Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba za viongozi wao.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya kata ya Salawe.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa Birika la kunyweshea maji mifugo akisaidiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Birika hilo la kisasa linajengwa katika kata ya Didia,Shinyanga Vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga ndugu Hamis Mgeja wakipiga picha ya pamoja na mafundi wanaoshiriki katika ujenzi wa Birika la kunyweshea mifugo maji kata ya Didia.(Picha na Adam H. Mzee)
No comments:
Post a Comment