Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akipokelewa na Spika wa Bunge
Mhe. Anne Makinda Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali Mhe. Ludovick
Uttoh, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC Mhe. Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa
SADCOPAC Mhe. Sipho Makama kutoka Afrika Kusini alipokuwa akiwasili katika
Ukumbi wa AICC Arusha kufungua Mkutano wa Mwaka wa SADCOPAC kwaniaba ya Rais
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC Mhe. Zitto Kabwe akitoa salam za ukaribisho kwa wajumbe wote wa SADCOPAC
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano wa Mwaka wa SADCOPAC katika ukumbi wa AICC mjini Arusha
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano wa Mwaka wa SADCOPAC katika ukumbi wa AICC mjini Arusha
Wajumbe wa mkutano wa SADCOPAC katika mkutano huo
Mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Mizengo
Pinda akihutubia wajumbe wa mkutano wa SADCOPAC kwaniaba ya Rais
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. 
Mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akizindua kitabu cha miaka kumi ya SADCOPAC mara baada ya kuhutubia wajumbe wa mkutano huo wa SADCOPAC kwaniaba ya Rais Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
Mgeni Rasmi akijibu maswali ya waandishi wa Habari
Spika wa Bunge na Mgeni Rasmi wakifurahia kikundi cha ngoma mara baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa SADCOPAC
CAG na Spika wa Bunge wakimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu
Mhe. Mizengo Pinda mara baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa SADCOPAC(Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge)
No comments:
Post a Comment