KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Saturday, September 28, 2013

WAFUGAJI WENYE ASILI YA KIDATOGA WA ENEO LA MARAMBOI,KIJIJI CHA VILIMA VITATU,WILAYA YA BABATI,MKOA WA MANYARA WAMELALAMIKA KUTOTENDEWA HAKI NA UONGOZI WA KIJIJI HICHO NA MWEKEZAJI.

Wafugaji wenye asili ya Kidatoga kutoka katika eneo la Maramboi,Kijiji cha Vilima Vitatu,Wilaya ya Babati,mkoa wa Manyara,kutoka kushoto,Gharibo Grdayinyi (alifungwa Jela miezi sita na kumuacha mtoto Ngenesy Mabey aliyemshika) Udaghwenga Bwayayi, Gruyamu Mwarisha,  Mwanasheria wao Deusdedith Mayomba Duncan,Mabee Giyamu,Gralamakarar Grdabwarsangida na Ganaku Gridahatgheda.
 Mwanasheria,Deusdedith Mayomba (kulia) akizungumza

 Udaghwenga Bwayayi,akizungumza.
 Ganaku Grdahatgneda (alipigwa risasi sehemu ya siri na miguuni)
Gharibo Grdayinyi ambae alifungwa katika Gereza la Babati miezi sita kwa kusingiziwa wizi wa baiskeli na nguuo za Mwekezaji.
 
 Gharibo Grdayinyi akiwa na mtoto wake Ngenesy Mabey ambae alimuacha alipofungwa katika Gereza la Babati miezi sita kwa kusingiziwa wizi wa baiskeli na nguuo za Mwekezaji.
 
Ganaku Grdahatgneda akionesha sehemu alizopigwa risasi miguuni na za siri akiwaonesha waandishi.
Wafugaji hawa wameonewa na Mwekezaji amewafunga na kuwapiga kuwachomea nyumba zao moto kwa kuwatumia vijana ambao hawajulikani.

No comments: