KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, September 30, 2013

MAMLAKA YA MAPATO NCHINI (TRA) YATANGAZA KIAMA KWA WAFANYABIASHARA WASIYOKUWA NA MASHINE YA KIELETRONIKI ( EFD) MWISHO NOVEMBA 15 2013.

 Ujumbe huo kwa wafanyabiasha na wanunuzi kazi kwetu.
Meneja mkoa wa Kodi Ilala, Luvanda Ngoloka,(kulia) akizungumza wengine ni
Naibu Kamishna Idara ya Kodi za Ndani Mamlaka ya Mapato TRA, Generose Bateyunga (kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu,Richard Kayombo.
 Viongozi wa TRA Makao Makuu
Naibu Kamishna Idara ya Kodi za Ndani Mamlaka ya Mapato TRA, Generose Bateyunga (kushoto) akizungumza na waandishi(hawapo pichani) Dar es Salaam jana kuhusu wafanyabiashara wanatakiwa kuwa na mashine za Kielektroniki (EFD) siku ya mwisho tarehe 15 Novemba mwaka huu nchi nzima.Wengine ni Mkurugenzi wa Huduma na Elimu,Richard Kayombo (katikati) na Meneja mkoa wa Kodi Ilala, Luvanda Ngoloka.
  Viongozi wa TRA mikoa ya Temeke (kushoto) na Kinondoni.
Naibu Kamishna Idara ya Kodi za Ndani Mamlaka ya Mapato NchiniTRA, Generose Bateyunga (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu,Richard Kayombo.

No comments: