Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Presidential Bureau Omar Issa (katikati) na Mkuu wa Chuo cha
Uongozi, Profesa Joseph Semboja katika mkutano alioutisha wa Wakuu wa Mikoa na
Makatibu Tawala wa Mikoa wa kujadili utekelezaji wa mpango wa
matokeo makubwa sasa, (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment