Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu wa vyama vilivyokuwa vya ukombozi kusini mwa Afrika, kabla ya kula nao chakula cha jioni, Ikulu jijini Dar es Salaam, Kutoka kushoto na vyama vyao vikiwa kwenye mabano makatibu wakuu hao ni, Nangolo Mbumba (SWAPO) cha Namibia, Gwede Mantash (ANC) cha Afrika Kusini, Didy Mutasa (ZANU-PF) Zimbabwe, na kutoka kulia ni Abdulrahman Kinana (CCM) Tanzania, Philipe Paunde (FRELIMO) Msumbiji na Julio Paulo (MPLA) Angola.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisisitizia jambo, Makatibu Wakuu wa vyama vilivyokuwa vya Ukombozi Kusini Mwa Afrika, alipokutaja nao kwa ajili ya chakula cha jioni, alichowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto na vyama vyao vikiwa kwenye mabano makatibu wakuu hao ni Gwede Mantash (ANC) cha Afrika Kusini, Didy Mutasa (ZANU-PF) Zimbabwe, na kutoka kulia ni Abdulrahman Kinana (CCM) Tanzania, Philipe Paunde (FRELIMO) Msumbiji na Julio Paulo (MPLA) Angola
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na ujumbe wa Makatibu wakuu wa vyama vilivyokuwa vya ukombozi kusini mwa Afrika, wakati wa chakula cha jioni alichowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na ujumbe wa Makatibu wakuu wa vyama vilivyokuwa vya ukombozi kusini mwa Afrika, wakati wa chakula cha jioni alichowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam,
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, CCM, Zakiah Meghji, wakati wa chakula cha jioni alichowaandalia makatibu wakuu wa vyama vilivyokuwa vya ukombozi Kusini mwa Afrika.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimtambulisha Katibu Mkuu wa Chama Cha MPLA cha Angola, Julio Paulo, kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula, wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
Katibu Mkuu wa chama tawala cha Afrika Kusini ANC, Gwede Mantash (kushoto) akimpa zawadi, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, mwishoni mwa mkutano wa sita wa Makatibu wakuu wa Vyama vilivyokuwa vya ukombozi Kusini mwa Afrika,
No comments:
Post a Comment