Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Mbunge wqa Ludewa Mhe Deo Filikunmjombe, Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe George simbachawene na Naibu Waziri wa Maji Dkt Bilinith Mahenge kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wilayani Ludewa mkoa wa Njombe.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mkoani Dodoma mara baada ya
kutua akitokea mkoani Njombe alikokuwa katika ziara
ya kikazi ya wiki moja.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment