KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Saturday, November 16, 2013

KINANA AMALIZA ZIARA TUNDURU KWA KISHINDO.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma.
Wananchi wa Mjini Tunduru mkoani Ruvuma wakimshangilia, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia maelfu ya wananchi hao katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Baraza la Iddi, mjini Tunduru, akiwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akifungua Ofisi ya CCM kata ya Jakika, wilayani Tunduru, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akisalimia wananchi wa kata ya  Jakika, wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya CCM ya kata hiyo, uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma.
Saidi Hassani akiwa amembeba mtoto wake, Arafa Hassani (2) aliyekuwa akichapa isingizi mabegani, wakati baba yake akiendelea kusikiliza kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (hayupo pichani) aliyewahutubia wananchi baada ya kufungua tawi la CCM Kata ya Jakika, wilayani Tunduru,  akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitia moto kwenye tanuru kuanzisha uchomaji matofali kwa ajili ya Ofisi ya Mtendaji katika Kata ya Jakika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Kulia anayeelekeza ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhisiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akikagua shughuli za ubanguaji korosho katika kiwanda cha Korosho Afrika, kilichopo nje kidogo ya mji mdogo wa Tunduru mkoani Ruvuma, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma, Wapili kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakifurahiwa na wanafunzi katika shule ya sekondari Mgomba, wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, baada ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aliyefuatana na viongozi hao, kukagua ujenzi wa jengo la maabara ya shule hiyo, akiwa katika ziara ya kukagua utelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, kusililiza kero za wananchi na kujadili nao jinsi ya kuzitatua katika mkoa wa Ruvuma. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments: