Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais
Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini mwishoni mwa mkutano wa wakuu wa nchi za
jumuiya ya Madola uliomalizika jijini Colombo Srilanka.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na katibu
mkuu wa Jumuiya za madola Dkt.Kamalesh Sharma jijini Colombo Srilanka mwishoni
mwa mkutano wa wakuu wa nchi hizo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na
Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbott (kushoto) na Waziri Mkuu wa New Zealand
John Key (wapili kushoto) muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa wakuu wa
nchi za Jumuiya ya madola jijini Colombo nchini Srilanka.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na
Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbott (kushoto) na Waziri Mkuu wa New Zealand
John Key(wapili kushoto) muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa wakuu wa
nchi za Jumuiya ya madola jijini Colombo nchini Srilanka.Watatu
kushoto pembeni ya Rais ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Mh.Bernard Membe.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na
Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbott(kushoto) na Waziri Mkuu wa New Zealand
John Key(wapili kushoto) muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa wakuu wa
nchi za Jumuiya ya madola jijini Colombo nchini Srilanka.Watatu
kushoto pembeni ya Rais ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Mh.Bernard Membe.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri
Mkuu wa Malaysia Mohamed Najib Abdul
Razak mwishoni mwa mkutano wa jumuiya ya Madola uliofanyika jijini Colombo
Srilanka.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment