KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, November 10, 2013

WAKATI BARABARA YA KIVUKONI IMEFUNGWA KWA MATENGENEZO WANANCHI WATEMBEA UMBALI KUPANDA MABASI,BODABODA UGOMVI NA POLISI PAMOJA NA WALINZI WA POLISI JAMII WAFANA.

Bodaboda zimeegeshwa zikisubiri abiria lakini Polisi hawapendi,madereva wanadai Polisi na Polisi Jamii wanapowakamata wanachukua rushwa na hatimaye kuwaachia. 
Dereva wa Bodaboda akibishana na Polisi na Polisi Jamii baada ya kumkamata akiwa eneo lililofungwa na wanamalazimisha waende naye Kituo Kidogo cha Polisi Feri.
 Mabishano makali kati ya Polisi na dereva wa Bodaboda yanaendelea.
Pamoja na kukatazwa madereva wa Bodaboda bado wamepaki eneo lililofungwa kwa ajili ya matengenezo ya barabara ya Kivukoni. 
 Polisi wa Usalama barabarani akizuia Bajaji isiingie eneo lililofungwa.
 Namba za moja ya Bodaboda iliyokamatwa na Polisi na kuleta mgogoro.
 Polisi Jamii akijaribu kumnyang'anya Bodaboda Dereva waliomkamata.
Wananchi walioshuka katika moja ya Kivuko wakitembea kuelekea katikati ya Jiji la Dar es Salaam na wengine wakienda kupanda kuelekea Kigamboni.

 Isiwe taabu safari ni safari bora kufika wakitafuta katikati ya Jiji kwa Guta wakitoka Kigamboni.

Kwa wakazi na wasio wakazi wa Kigamboni hali ya kutembea kuitafuta Posta ya Zamani na Kivukoni Magogoni ipo kama hivi.

No comments: