Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA,
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na
Kusini ya Afrika wa UNAIDS na Mwenyekiti wa High Level Group Profesa
Sheila Tlou wakati wa ufunguzi wa mkutano wa High Level Group
unaofanyika Cape Town nchini Afrika Kusini.
Baadhi ya wajumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa High Level Group
wakimsikiliza Mama Salma Kikwete aliyekuwa akifungua rasmi mkutano huo.
Kutoka kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mheshimiwa
Radhia Msuya.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na viongozi wengine wa High Level
Group wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano
huo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kanda wa UNAIDS, Profesa Sheila
Tlou na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki
Mheshimiwa
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa siku mbili wa High
Level Group, unaofanyika huko Cape Town tarehe 6 na 7, Desemba 2013.
Mkutano huo unazungumzia masuala ya elimu na afya kwa vijana wanaoishi
katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa siku mbili wa High
Level Group, unaofanyika huko Cape Town 2013.
Mkutano huo unazungumzia masuala ya elimu na afya kwa vijana wanaoishi
katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa siku mbili wa High
Level Group, unaofanyika huko Cape Town
Mkutano huo unazungumzia masuala ya elimu na afya kwa vijana wanaoishi
katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza kijana Remmy Shawa,
mjumbe wa High Level Group mara baada ya kutoa mada yake 'Background to
the East and Southern Africa Commitment Process' kwenye mkutano wao wa
siku mbili unaofanyika Cape Town nchini Afrika Kusini.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza kijana Remmy Shawa, mjumbe wa
High Level Group mara baada ya kutoa mada yake 'Background to the East
and Southern Africa Commitment Process' kwenye mkutano wao wa siku mbili
unaofanyika Cape Town nchini Afrika Kusini.(PICHA NA JOHN LUKUWI)
No comments:
Post a Comment