KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Wednesday, December 18, 2013

Ndege ya Ethiopian AirLine Boeng 767 yatua Uwanja ndogo Arusha Tanzania kwa Dharura Baada ya Kuishiwa Mafuta.

 Wafanyakazi wa Uwanja ndogo wa Arusha na Maofisa wa Usalama wakiangalia ndege ya Ethiopian iliyotua kwa Dharura katika Uwanja ndogo baada ya kuishiwa mafuta.
 Ndege ikiwa kwenye majani ya Uwanja ndogo wa Arusha Tanzania.
 Magari yaliyozagaa karibu na Ndege.
 Gari la Zimamoto likiwa tayari kutoa huduma pembeni ya Ndege.
 Mataili ya Ndege ya Ethiopian Airline Boeng 767 yakiwa yameingia katika udongo na kupunguza kasi
 Abiria zaidi ya 213 na wahudumu pamoja na marubani zaidi ya 20 wanusulika kifo wakiwa katika Ndege hii ya Boeng 767 ya Ethiopian Air Line.
Ndege ya Ethiopian AirLine Boeng 767 ikiogelea katika majani ya Uwanja mdogo wa Arusha baada ya kuishiwa mafuta na kukosa nafasi ya kutua katika Uwanja wa Kilimanjaro International Airpot (KIA) Je Ndege hii itaruka vipi wakati Uwanja huu ni mdogo?. 

No comments: