Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kuboresha 
uwanja wa Sokoine ikiwa sehemu ya maandalizi ya sherehe za miaka 37 ya 
CCM zitakazofanyiaka kitaifa mkoni Mbeya tarehe 2 Februari na mgeni wa 
heshima anatazamiwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho 
Kikwete.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Luteni Mstaafu Maganga Sengelema  akichangia
 jambo mbele ya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakati wa 
kukagua maandalizi ya awali ya sherehe za maika 37 ya CCM ambazo kitaifa
 zitafanyika mkoani Mbeya.(Picha na Adam H. Mzee)
 


 
No comments:
Post a Comment