Mke wa Rais
na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete
akisalimiana na watoto waliozaliwa kutoka katika familia zinazoishi na virusi
vya ukimwi lakini zimeweza kupata watoto ambao ni salama baada ya kutumia dawa
za kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. Wazazi wa watoto hao
walitoa ushuhuda wao wakati wa sherehe ya uzinduzi wa mwongozo mpya wa huduma
za kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT OPTION B+) kwa mkoa wa Dar es Salaam
zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akiwasalimia wazazi wa mtoto Debora Andrew (aliyembeba) ,
mwenye umri wa miezi 9, ambaye hana maambukizi ya VVU kutoka kwa wazazi wake
wanaoishi na virusi vya ukimwi ambao hutumia dawa za kuzuia maambukizi kutoka
kwa mama kwenda kwa mtoto. Mama Salma alikutana na wanafamilia hao wakati wa
uzinduzi wa mwongozo mpya wa huduma za kuzuia maambukizi kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Washiriki waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa mwongozo mpya wa huduma
za kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
wakisikiliza na kushangilia hotuba ya uzinduzi iliyokuwa ikitolewa na Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete aliyekuwa Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo uliofanyika
kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi mwongozo mpya wa huduma
za kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto,
(PMTCT OPTION B+) kwa Mkoa wa Dar es Salaam katika sherehe iliyofanyika katika
ukumbi wa Mwalimu Nyerere.

Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia mkono
washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa huduma mpya za kuzuia
maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kwa Mkoa wa
Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia mkono
washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa huduma mpya za kuzuia
maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kwa Mkoa wa
Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere.(PICHA NA JOHN
LUKUWI).
No comments:
Post a Comment