Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mizengo Pinda akizindua na kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha saruji
cha MEIS eneo la Machole mkoani.
Sehemu iliyoandaliwa kitakapojengwa kiwanda cha saruji cha
MEIS eneo la Machole mkoani.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mizengo Pinda akitembelea baadhi ya maeneo ya kiwanda cha saruji cha
MEIS baada ya kikizindua.
Bi Asha Ismail mkazi
wa Kitomanga mkoani Lindi akitwishwa ndoo ya maji na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda baada
ya kuzindua Kisima cha maji kilichojengwa na kampuni ya CCP inayojenga bomba la
mafuta kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam.
Mhandisi
Baltazari Mrosso akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi
linalotoka Mtwara mpaka Dar es salaam kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mizengo Pinda wakati anakagua
maendeleo ya ujenzi wa bomba hilo.
No comments:
Post a Comment