Meneja wa Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi
na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akiongea
jambo kwa wafanyakazi wa TCRA walioambatana na familia zao katika siku
ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani
Bagamoyo mkoani Pwani.
Meneja wa Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani,
Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa. Akisakata dansi na wafanyakazi na Katibu
Mhitasi Halima Magonga (kulia)wakati wa siku ya FamilyDay iliyofanyika jana katika Hoteli ya Livingstone Wilayani Bagamoyo.
Wafanyakazi wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika
ufukwe wa Hoteli ya Livingston Bagamoyo ,siku hiyo iliwashirikisha wafanyakazi na familia
zao.
Meneja wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani,
Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa
akimkabidhi mmoja wa wafanyakazi
wa TCRA Juhudi Ngozi Kuku baada ya kuwashinda wenzake wakati wa Family Day iliyofanyika katika hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo
.Anayeshudia ni Mhasibu wa Mamlaka hiyo Patrice Lumumba.
Watoto wa wafanyakazi wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family
Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hotel ya Livingston Wilayani Bagamoyo siku
hiyo ni maalumu kwa wafanyakazi na familia zao.
Mhasibu wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akiongea jambo
kwa wafanyakazi wenzake pamoja na familia zao katika Family Day iliyofanyika katika Hotel ya
Livingstoni Wilayani Bagamoyo.
Meneja wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani,
Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa
akimkabidhi Kuku David Mapunda,
baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa kukimbia na gunia wakati wa siku ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston
Wilayani Bagamoyo.
Meneja wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki
Eng. Oscar Mwanjesa, akimkabidhi
Zainabu Sadiki kuku baada ya kuibuka
mshindi wa shindano la kukimbia na gunia
wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika
hoteli ya Livingston Bagamoyo.
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kukimbia na gunia wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi
wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hotel ya Livingston Bagamoyo.
Baahi ya wafanyakazi wa Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja
na familia zoa wakati wa siku ya familyDay iliyofanyika katika Hoteli ya
Livingston Bagamoyo.
Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki
inayoundwa na mikoa mitano ya Morogoro,Pwani, Mtwara.Lindi,na Dar es
Salaam. Wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao wakati wa siku ya family
Day iliyofanyika katika Hoteli ya
Livingston iliyop Wilayani Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment