Mwenyekiti wa Tanzania Handcraft Association (Tancraft) Elihaika Mrema (kushoto) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa kuwatambulisha walipo.Wengine ni Vicky Shayo na Louise Mushi.
Mjasiriamali wa Dawa za Asili akionesha bidhaa zake zinazotibu magonjwa mbalimbali ya binadamu.
Mwenyekiti wa Tanzania Handcraft Association (Tancraft) Elihaika Mrema
(kushoto) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa kuwatambulisha
walipo.Wengine ni Vicky Shayo na Louise Mushi na Michola Bojumanda.
Majasiriamali akizungumza na wateja waliofika katika banda lake.
Wajasiriamali wakiwa katika mkutano na waandishi wakati wa uzinduzi wa eneo jipya la biashara zao.
Mjasiriamali akipanga bidhaa zake.
Mjasiriamali akiweka vizuri Vinyago vyake.
Wajasiriamali wakiwa na Vikapu vya katika Jengo jipya.
Wajasiriamali wakionesha Batik zao kwa wageni waandishi wa Chanel Ten na Mwenyekiti wa Wajasiriamali.
Mjasiriamali akisubili wateja.
Wajasiriamali wakipata Vitafunwa baada ya mkutano na waandishi wa Habari (hawapo pichani).
No comments:
Post a Comment