Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais
wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa baada ya
kuwasili katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa
watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya
kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana
mawazo na Marais wastaafu Alhaj Ali
Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa katika hafla ya harambee ya
kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika,
jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Dar es
salaam.
Mkurugenzi wa Radio One Bw. Deo
Rweyunga akitangaza mchango wa makampuni ya IPP ya kununua kifaa cha thamani ya
dola elfu 50 ) katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi
ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru
mwakilishi wa UNICEF nchini kwa mchango wa dola za kimarekani 100,000 huku Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na
Mzee Benjmin William Mkapa wakishuhudia katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi
ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru
mwakilishi wa NSSF Bw. Juma Kintu kwa mchango wa mfuko huo katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi
ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea
mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 toka kwa wawakilishi wa PPF ukiwa mchango
wa mfuko huo katika hafla ya harambee ya
kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika,
jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Dar es
salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru
Bi Lucy Kimei kwa kuwasilisha shilingi
milioni tatu kama mchango wa familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dkt Charles
Kimei katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi
ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Dar es salaam.
Rais mstaafu Mzee Benjamin William
Mkapa akimshukuru mwakilishi wa taasisi
ya WAMA Bi. Caroline Mthapula kwa
mchango wa taasisi hiyo katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi
ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru
Bw. Lumbila Fyataga, mwakilishi wa Ofisi ya Rais, Ikulu, kwa mchango wa kununua kifaa cha kuwapa joto
watoto wachanga (Infant radiation warmer) katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi
ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Dar es salaam.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment