Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Jumbe Mangu akisisitiza jambo kwenye mkutano
Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha
Taluma ya Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro. Mkutano huo umebebwa na kauli mbiu
isemayo “Zingatia Weledi katika Kutoa Huduma Bora Kwa Jamii”
Kamishna
wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Paul Chagonja akisisitiza kwa
Makamanda wa mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu hususani katika
kushughulikia migogoro, kwenye mkutano
Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha
Taaluma ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro.

Taaluma ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro.( Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la
Polisi).
No comments:
Post a Comment