Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU) kutoka kwa
Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ambaye pia ni
mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda wa Maziwa Makuu, Ikulu jijini Dar es
salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na
Kusini mwa Afrika ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda wa
Maziwa Makuu, Bw. Koen Vervaeke (kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa EU nchini Tanzania
Balozi Filiberto Ceriani Sebregondi, bada ya kukutana
nao Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU)
ukiongozwa na Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na
Kusini mwa Afrika ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za
ukanda wa
Maziwa Makuu Bw. Koen Vervaeke, Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jarida toka kwa Bw. Burham Philbrook wa Shirika la Global
Volunteers la Minnestota, Marekani, akishuhudiwa na Askofu Dkt. Owdenburg M.
Mdegella wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Iringa
walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo
Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Burham Philbrook wa Shirika la
Global Volunteers la Minnestota, Marekani, akishuhudiwa na Askofu Dkt.
Owdenburg M. Mdegella wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya
Iringa walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.(PICHA
NA IKULU).
No comments:
Post a Comment