Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa kampuni ya
ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini
Dodoma tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye
mwezi huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya
Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa
marekebisho tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba
baadaye mwezi huu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katuka Bunge
jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa

baadaye mwezi huu.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment