KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, February 3, 2014

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini.

 Jaji Mkuu wa Tanzania Othumani Chande(wa pili kulia) akiongoza Maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini.
 Viongozi wa Dini.
 Jaji Mkuu wa Tanzania Othumani Chande (kulia) akiongozana na Jaji Fakhii Jundu(wa pili kushoto) Spika wa Bunge Anne Makinda (wa pili kulia) na Mkuu wa Wilaya Ilala Raymond Mushi(kushoto).
 Rais Jakaya Kikwete,akipokewa na Jaji Mkuu Othumani Chande.
  Rais Jakaya Kikwete,akipokewa na Jaji Mkuu Othumani Chande.pamoja na Spika wa Bunge Anne Makinda (kulia).
  Rais Jakaya Kikwete,akipokewa na Jaji Mkuu Othumani Chande wakizungumza.
  Rais Jakaya Kikwete,akipokewa na Jaji Mkuu Othumani Chande wakiteta.
  Rais Jakaya Kikwete,akipokewa na Jaji Mkuu Othumani Chande wakiendelea kuzungumza.
  Rais Jakaya Kikwete,akipokewa na Jaji Mkuu Othumani Chande akisisitiza jambo.
  Rais Jakaya Kikwete,akizungumza na Jaji Mkuu Othumani Chande pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Dk,Asha Roze Migiro.
 Jaji Mkuu Othumani Chande akikagua gwaride la FFU.
Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wakifuatilia jambo wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini.

No comments: