Katibu Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa
aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano,
alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo la
Kalenga, Iringa Vijijini, leo jioni. Wengine ni watoto wa marehemu
Mgimwa, Stanisla Mgimwa, na Rozalina Mgimwa.
Kinana akizungumza na familia huyo ya marehemu Mgimwa. Wapili kushoto ni Johakim Mgimwa.
Kinana akimuaga Mama Mgimwa baada ya mazungumzo.
Kinana akiaga.
Mmoja wa wanafamilia akilia Kinana alipotembelea familia hiyo ya Mgimwa.
Nyumbani kwa marehemu Mgimwa
Kinana akipokea saluti ya Kijana wa CCM, alipowasili Ifunda, Iringa
Vijijini kabla ya safari ya kwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa. Kushoto
ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msavatavangu: Picha na theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment