Hii ni Nembo ya Jina la Kijiji cha Dege Eco kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam ambacho ni kizuri sana kitakapomalizika hakuna katika nchi za Afrika Mashariki na Kati.
Sehemu ya Nyumba zinazoendelea kujengwa.
Kasi ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
Mkurugenzi wa Mkuu wa NSSF Dk,Ramadhan Dau (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mwenye kampuni inayojenga nyumba hizo (kushoto) majina yanatafutwa na mshirika wa Nyumba hizo.
Mafundi wakiendelea kukabiliana na ujenzi wa nguzo za Daraja.
Moja ya Nyumba ya Ghorofa nne ikiendelea na ujenzi.
Nguzo za Daraja la Kigamboni.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakiwa eneo la Daraja
Nyumba za DEGE ECO VILLAGE Kigamboni Dar es Salaam.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakiwa eneo la Daraja wakielekea upande wa Vijibweni.
Hii ni nguzo kubwa ya daraja iliyojengwa katikati ya Maji.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakiwa eneo la Daraja wakiangalia moja ya Nguzo.
Mafundi wakiishughulikia nguzo kubwa.
Nguzo kubwa iliyokuwa katikati ya maji.
Nguzo kwenye kina kirefu cha maji.
Daraja upande wa Vijibweni likiendelea kujengwa.
No comments:
Post a Comment