Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia semina ya
viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya
Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM mjini Dodoma wakimsikiliza Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda wakati alipofungua semiana hiyo.

Washiriki wa Semina ya viongozi na
watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa,mikoa na
Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania,Abdallah Majura Bulembo (kulia)
na Makamu wake Dogo Idd Mabrouk (Wapili kushoto) na Mjumbe wa
Kamati yaUtekelezaji ya Jumuiya hiyo,Mohammed Sif Khatib (wapili kulia) kutoka
kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma baada ya
kufungua semina viongozi na watendaji wa Jumuiya
ya Wazazi Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini ,

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizuzungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Abdallah
Majura Bulembo (kulia) na Makamu wake Dogo Idd Mabrouk
(Wapili kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya hiyo,
Mohammed Seif Khatib (wapili kulia) baada ya kufungua
semina viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi
Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini , kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu
ya Taifa ya CCM. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya
Utekelezaji ya Jumuiya hiyo Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment