KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, February 23, 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MISRI IKULU, DAR ES SALAAM.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  alipomtembelea  Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipookea ujumbe toka kwa  Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  alipomtembelea  Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  na ujumbe wake walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.(Picha na Ikulu).

No comments: