KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Saturday, April 26, 2014

BONDIA THOMAS MASHALI APATA AJALI.


Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni.
Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni.
JERAHA LINALO ONEKANA MKONONI
Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni.
THOMAS MASHALI
Bondia Thomas Mashali wa tatu kushoto akiwa na baadhi ya ndugu na jamaa akiuguza majeraha  baada ya kupata ajali hivi karibuni.
Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni.

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Thomasi Mashali amepata ajali ya gari mara baada ya kuangukia mtaroni akiwa anaendesha gari aina ya vitz lenye namba za usajili T 777 BMW ajali hiyo iliyotokea maeneo ya kimara Baruti siku ya april 20.

wakati akitokea manzese kwenda nyumani kwake kimara mwisho akielezea tukio zima la ajali hiyo Mashali 'Alisema nilikuwa naendesha mwenyewe nikakutana na tuta nikaruka tuta nilivyomaliza tu tuta kumbe mbele yangu kulikuwa kumefungwa kutokana na matengenezo ya barabara ya Morogoro  ile nataka kukwepa uzio ambapo nilipo kwepea nika ingia mtaroni moja kwa moja.

katika gari hiyo tulikuwa wawili na mdogo wangu George Maluma ambaye ajaumia chochote katika ajali hiyo.

Akizungumzia mchezo wake unao mkabili ambao ulikuwa ufanyike siku ya Mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba kwa ajili ya kumkabili Kalama Nyilawila, mashali alisema kuwa kwa sasa sifanyi mazoezi kwa kuwa nauguza majeraha yangu ya kuchubuka na kutoka kwa ngozi katika mkono wangu wa kulia na ubavuni.

Namwambia Kalama kuwa kafala lake limegonga mwamba hivyo akae tayari kwa kipigo cha mbwa mwizi kama nilivyo mfanya mwenzie Mada Maugo.

Kwani na yeye alikuwa anachonga sana lakini mwisho wa siku nikachukuwa ubingwa kupitia kwake yeye mana mpambano huu nilikuwa nausubili kwa hamu kubwa sana.

Mbali na majeraha haya napenda kuwashukuru baadha ya watu walionisaidia  katika tukio zima la mimi kupata ajari na kunisaidia kutoa gari bondeni mpaka sasa ipo katika mikono salama ingawa imearibika kwa sababu ya kubondeka.

Mbali na hivyo nashukuru  promota Ally Mwazoa kwa kuwa na moyo wa huruma na kuhamua kusogeza mbele mpambano huo mpaka siku utakapotangazwa tena pia naomba watanzania waniombee duwa kwani naenderea vizuri kutibu majeraha.

No comments: