KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Saturday, April 5, 2014

Hii ni Adhabu au kukomoana katika Maisha ya Duniani Mungu yupo.



Jamaa hawa walikutwa wakifanya uhalifu eneo la jeshi fulani hapa nchini, mpasha habari anasema wakapewa adhabu ya kuoga maji yenye tope na uchafu  mpaka wakawa hoi na kutakata ngozi zao, je ni haki kujichukulia sheria mikononi kama kweli ni askari wa wananchi ? ata wewe muhusika wa kutoa adhabu hii? hali hii ni sawa kufanyiwa raia.

No comments: