Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA,
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi vya
Wanawake Mbagala, (UWAMBA), Mama Zenna Hanga kwenye sherehe za uzinduzi
wa vikundi hivyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Dar Live huko Mbagala
Rangi tatu.

Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa
mbalimbali zinazozalishwa na wana UWAMBA wakati wa sherehe za uzinduzi
wa kikundi cha huko Mbagala,
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA,
Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanachama wa UWAMBA na Wananchi wa
Mbagala wakati wa sherehe za uzinduzi wa Umoja huo.
Wanachama wa UWAMBA wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi Mama
Salma Kikwete wakati wa sherehe ya uzinduzi wa umoja wao huko Dar Live
Mbagala.
Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa
mbalimbali zinazozalishwa na wana UWAMBA wakati wa sherehe za uzinduzi
wa kikundi cha huko Mbagala.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi
rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi
rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akimkabidhi
komputa Mwenyekiti wa UWAMBA, Zenna Hanga kwa ajili ya matumizi ya ofisi
ya UWAMBA mara tu baada ya kuzindua rasmi Umoja huo huko Mbagala.
Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaidiana
na Mama Tabu Likoko kutoka WAMA, wakimkabidhi Mwenyekiti wa UWAMBA, Mama
Zenna Hanga moja ya charahani walizozitoa kwa umoja huo wakati wa
sherehe za uzinduzi huko Mbagala, (PICHA NA JOHN LUKUWI).
No comments:
Post a Comment