Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa
mwili
wa aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na
maendeleo ya Jeshi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
marehemu Meja Jenerali Kevin Gerald Msemwa
wakati wa hafla ya kuaga mwili wake iliyofanyika katika uwanja wa makao
makuu ya
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Upanga jijini Dar es salaam leo April 6,
2014. Meja Jenerali Msemwa alifariki April 3, 2014 katika hospitali ya
Jeshi ya Lugalo Dar es Salam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na
Mkewe mama Salma Kikwete wakitoa mkono wa pole kwa wanafamilia baada ya kutoa heshima
za mwisho kwa aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na maendeleo ya Jeshi katika Wizara
ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa marehemu
Kevin Gerald Msemwa wakati wa hafla ya kuaga mwili wake iliyofanyika katika
uwanja wa makao makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Upanga jijini Dar es
salaam. Meja Jenerali Msemwa alifariki April 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo Dar es Saalam.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment