KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, May 29, 2014

KINANA, AITEKA MBULU, MKUTANO WAKE WA HADHARA WAFURIKA MAELFU YA WANANCHI KUMSIKILIZA.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdul;rahman Kinana akiwasalimia wananchi alipowasili katika Uwanja wa Mbulu mjini, kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama na kusikilkiza kero za wananchi mkoani Manyara, Mei 28, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi kwenye Uwanja wa Mbulu mjini.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano huo.
Mapokezi ya Kinana kuingia wilayani Mbulu akitokea Katesh.
Kinana akishindilia udongo kwa mashine kwenye ujenzi wa daraja la Gorong'aida eneo la Kilimapunda, linalounganisha kutoka Katesh hadi Singida.
Nape akishindilia udongo kwa mashine kwenye ujenzi wa daraja la Gorong'aida eneo la Kilimapunda, linalounganisha kutoka Katesh hadi Singida.
Kinana na Nape akiwasalimia madaktari alipotembelea hospitali ya Haydom wilayani Mbulu alipotembelea hospitali hiyo mkoani Manyara
 Kinana akitoka katika hospitali ya Haydom baada ya kutembezwa katika maeneo mbalimbali ya utoaji huduma kwenye hospitali hiyo.
Kinana akizungumza na watumishi Haydom
Wwatumishi wa hospitali ya Haydom wakiwa kwenye mkutano na Kinana
Daktari Mkuu wa Hospitali ya Haydom akizungumza kwenye mkutano wa Kinana na watumishi wa hospitali hiyo.
Kinaana akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Ofisi ya CCm Haydom.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akimpongeza aliyekuwa Katibu wa Wanawake wa Chadema, Haydom, Victoria Mshama, baada ya kutangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano hadhara aliofanya Katibu Mkuu huyo katika kata hiyo ya Haydom. Kulia ni Nape.
Wananchi wakifurahia hotuba ya Kinana kwenye mkutano wa Haydom.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akishiriki kuweka zege jengo la nyumba ya Mwalimu shule ya sekondari ya Yaenda Chini, mkoani Manyara.
 Kinana akikagua moja ya wodi katika hospitali ya Mbulu wakati alipofika kuzindua jengo la upasuaji la hospitali hiyo. (Picha zote na Bashir Nkoromo, theNkoromo Blog)

No comments: