Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara, kwenye Uwanja wa Reli, Itigi wilayani Manyoni, mwanzoni mwa
ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji
wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia
ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Wananchi
wakimshangilia Kinana wakati akihutubia mkutano hadhara kwenye Uwanja
Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida.
Wananchi
wakimshangilia Kinana wakati akihutubia mkutano hadhara kwenye Uwanja
Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida.
Katibu
wa NEC, Itukadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara
kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida.
,Mkuu
wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone akihutubia mkutano wa hadhara
kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida.
Mlezi
wa mkoa wa singida, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Hadija Aboud
akisalimia wananchi katika mkutano huo wa hadhara kwenye Uwanja Relini,
Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida,
Mbunge
wa Manyoni Mashariki, mkoani Singida, John Chiligati akisalimia
wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi.
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana akisalimia na wananchi bada ya kuwasili Uwanja wa
Reli, Itigi kwa ajili ya mkutano huo wa hadhara.
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana akikagua bwawa lililochimbwa na serikali kwa ajili
ya kilimo cha umwagiliaji na unyweshaji mifugo katika kijiji cha
Itagata, wilayani Manyoni, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani
Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza
kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida, Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye na baadhi ya viongozi wa Chama mkoa huo.
Kinana akilikagua kwa makini bwawa hilo.
Vijana
wakiwa wamejinakshi rasmi wakati wakicheza ngoma za asili kwenye
mkutano wa Kinana uliofanyika Kijiji cha Itagata, tarafa ya Itigi.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la Chuo cha
Ufundi- VETA, cha Jukuia ya Wazazi ya CCM, Kata ya Itagata, Manyoni,
mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na
kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa
lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Aliyebeba tofali kumpa ni Mwenyekiti wa CCm mkoa wa Singida, Mgana
Msindai.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akisaidiwa na Mbunge wa
Manyoni Magharibi, Paul Luanje, kuwapa mafundi bati waliokuwa wakipaua,
jengo la maabara katika shule ya sekondari Mgandu, iliyopo katika
kijiji cha Kayui Manyoni Magharibi, mwanzoni mwa ziara yake ya siku
nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na
kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa
wa Singida.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akifukia mti bada ya kuupanda kama
kumbukumbu ya kushiriki ujenzi wa jengo hilo la maabara katika shule ya
sekondari Mgandu, iliyopo katika kijiji cha Kayui Manyoni Magharibi,
mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na
kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa
lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimagilia maji mwenye mti ambao
naye pia aliupanda kwenye shule hiyo kumuunga mkono Kinana.
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Manyoni, wakimsikiliza Kinana alipozungumza
nao leo, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua
na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi
kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana, akisalimiana na Mbunge wa Singida Magharibi,
Lazaro Nyalandu, wakati wa mapokezi yake baada ya kuwasli mpakani mwa
Tabora na Singida, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida,
kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za
wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida. Kulia
ni Mbunge wa Manyoni Magharibi, Paul Luanje.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Tabora, Hassan Wakasubi, mpakani mwa mkoa huo na Singida,(Picha zote na Bashir Nkoromo- theNkoromo Blog)
No comments:
Post a Comment