KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, May 4, 2014

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yatoa Mafunzo ya Kodi kwa Wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET).

 Lengo la Mafunzo haya kwa waandishi ni kuhifahamu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na utendaji wake wa kazi ili wawafahamishwe walipakodi (Wananchi) wajue Kodi zao zinavyotumika pia waandishi wakifahamu vizuri TRA basi hata utoaji wa habari utakuwa wa usahihi na kufanya maendeleo ya ulipaji wa Kodi kuwa wa hiari kwa kila mwananchi na kufurahia.
Mkurugenzi  wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,Richard Kayombo (katikati) na Mkurugenzi wa Fedha Sarehe Mshoro (kushoto) na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Kodi (TAWNET),Judica Tarimo.Wakibadirishana mawazo kabla ya kuanza Mafunzo. 
 Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima (kushoto) akipokewa na Ofisa wa Kitengo cha Habari TRA,Ireen.
 Naibu Waziri wa fedha Adam Malima (kushoto) akikaribishwa na   Mkurugenzi wa Fedha (TRA) Sarehe Mshoro (kulia) kabla ya mafunzo ya waandishi wanachama wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) yaliyofanyika siku mbili katika Chuo  cha Kodi  Jijini  Dar es Salaam.Katikati Mkurugenzi  wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,Richard Kayombo.

Naibu Waziri wa fedha Adam Malima (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi  wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,Richard Kayombo.Katikati Ofisa Habari (TRA) Ireen. 
  Mkurugenzi  wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,Richard Kayombo akizungumza wakati ya mafunzo kabla ya waziri kufungua.
 Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Kodi (TAWNET),Judica Tarimo.(kushoto) akizungumza.
 sehemu ya waandishi na maofisa wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) wakiwa katika Mafunzo.
 Naibu Waziri wa fedha Adam Malima (katikati) akizungumza na waandishi wanachama wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) wakati wa Mafunzo ya Kodi kwa wanachama  hao  yaliyofanyika  Chuo  cha Kodi  Jijini  Dar es Salaam juzi.Kushoto Mkurugenzi  wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,Richard Kayombo na Mkurugenzi wa Fedha Sarehe Mshoro.
 Naibu Waziri wa fedha Adam Malima (katikati) akizungumza na waandishi wanachama wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) wakati wa Mafunzo ya Kodi kwa wanachama  hao  yaliyofanyika  Chuo  cha Kodi  Jijini  Dar es Salaam juzi.Kushoto Mkurugenzi  wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,Richard Kayombo na Mkurugenzi wa Fedha Sarehe Mshoro.
 Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akimsalimia Mwenyekiti wa (TAWNET) Judica Tarimo.
 Waziri akisaini kitabu cha wageni.
 Waziri akiteta na Mkurugenzi.
 sehemu ya waandishi wakiwa katika mafunzo ya siku mbili.
 waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari wanachama walihudhulia.
 Waandishi.
 Waandishi wakifuatila mafunzo.
 Waandishi wakiwa mafunzoni.
 Waandishi.
 Mkurugenzi TRA akizungumza.
 Waandishi wakifuatilia mada.
 Naibu Waziri Adam Malima akisisitiza jambo.
 Mwandishi mkongwe akitoa mafundisho.
 Waziri akiwa katika picha ya pamoja na waandishi pamoja na Maofisa wa TRA.
 Waziri akizungumza na waandishi baada ya kufungua mafunzo.
 Mkurugenzi TRA akitoa mada.
 Mwanshi akiuliza swali.
 Waandishi wakimakinika.
 Maofisa wa TRA pamoja na waandishi wakifuatilia mada.

Mkurugenzi  wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,Richard Kayombo (wapili kushoto) akifunga mafunzo ya siku mbili.

No comments: