MSIHADAIWE
SERIALI MBILI ZINATOSHA: Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akihutubia mamia ya wananchi kwenye Viwanja vya Kibanda Maiti, mjini
Zanzibar, Mei 4, 2014. kueleza kwa nini CCM inawataka Watanzania
kuingunga mkono kuhusu msimamo wake wa kutaka Tanzania iendelee kuwa
katika mfumo wa serikali mbili ndani ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar baada ya mchakato wa Katiba mpya.
Mjane wa Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Sheik Abeid Amani Karume, Mama Fatuma Karume akizungumza kwenye mkutano huo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshukuru na kumpongeza Mama Fatma Katume kwa hotuba nzuri 'iliyoshiba'
Mjane wa Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Sheik Abeid Amani Karume, Mama Fatuma Karume akizungumza kwenye mkutano huo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshukuru na kumpongeza Mama Fatma Katume kwa hotuba nzuri 'iliyoshiba'
Ni serikali mbili tu: Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, akionyesha alama
inayotumiwa na chama chake kujinasibu kuwa kinahitaji serikali mbili
katika katiba mpya, alipohutubia wananchi katika mkutano huo wa Kibanda
maiti, Mei 4, 2014 mjini Zanzibar.
Kada machacahari wa CCM kutoka Zanzibar, Asha Bakari Machano akihutubia mkutano huo wa Kibanda maiti, Mei 4, 2014.
Kada
mwingine ambaye pia ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde alitema
cheche kwenye mkutano huo, wakati akieleza kwa nini CCM inaona kwamba
mfumo wa serikali mbili katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo
unafaa.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohammed Seif Khatib akizungumza kwenye mkutano huo
Mbunge
katika Bunge la Katiba, Emmanuel Nchimbi akizungumza na kutoa ufafanuzi
kwamba hata baadhi ya viongozi wa upinzani akiwemo Katibu Mkuu wa CUF
Maalif Seif Sharif Hamad wanajua hatari ya mfumo wa serikali tatu kwa
taifa la Tanzania
Kada wa CCM, ambaye pia ni Mbunge katika Bunge la Katiba na Ummy Mwalimu akizungumza kwenye mkutano huo
Wananchi
wakishangilia huku wakionyesha kuunga mkono msimamo wa CCM wa kutaka
mfumo wa serikali mbili katika katiba mpoya, wakati wa mkutano huo
Wananchi
wakishangilia huku wakionyesha kuunga mkono msimamo wa CCM wa kutaka
mfumo wa serikali mbili katika katiba mpoya, wakati wa mkutano huo
Baadhi
ya wananchi wakijificha mvua kwa miavuli wakati wa mkutano huo, huku
wengine wakiendelea kusikiliza hotuba za viongozi kwenye mkutano huo
bila kuhofia mvua hiyo.
Vijana akiwa amejinakshi kwa jina la CCM shavuni kwake akiwa kwenye mkutano huo
Vijana wakionyesha kuunga mkono msimamo wa CCM wa serikali mbili katika katika mpya, wakati wa mkutano huo.
Karibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM, Unguja, Juma Borafia, wakati wa mkutano huo.
Kinana
akiagana na baadhi ya wananchi wakliohudhuria mkutano huo. pembeni yake
ni Mjumbe wa Kamati Kuu na NEC, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi
Seif Ali Iddi
Kinana akiagana na Balozi Seif Ali Idd baada ya mkutabo huo
HAYA BAKIENI SALAMA:
Kinana akiwaaga wananchi wote kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa
Kibanda maiti baada ya mkutano huo. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment